Kazi za RUDI zinalenga kujenga ushirikiano madhubuti na vyama vya kibiashara hususani katika jamii za wakulima kuwezesha yafuatayo:
- Kuunda na kutangaza hatua za mabadiliko ya kisera
- Kuboresha ufikiaji masoko kupitia upashanaji habari
- Kuwezesha upatikanaji wa mikopo
- Kukuza uzalishaji wa mazao/ bidhaa kwa kutoa mafunzo ya usimamizi wa biashara.
Kazi hizi zina lengo la kuwezesha MSE/ Vikundi vya wakulima kupunguza umasikini kupitia kuongeza kipato katika jamii za vijijini na mjini:
- Kuendesha mafunzo ya usimamizi wa biashara kwa SME /wakulima
- Kuboresha sera na mazingira ya udhibiti kwa MSE/ wakulima
- Kuboresha na kuongeza thamani ya mazao
- Kuanzisha vyama vya wakulima/ biashara and kuboresha mtandao wa SACCOS
- Kuongeza ufikiaji wa masoko kwa MSE/wakulima na kukukuza biashara ya kimaaifa kwenye bidhaa za kilimo
|